CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 25
Kifaa hiki hutumika kufanya kazi gani?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.

25. Kifaa hiki hutumika kufanya kazi gani?
- AKufyeka
- BKukusanya taka
- CKufagia
- DKutupa taka.
Answer
C. Kufagia
Ufagio hutumika kufagia.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Upi si msamiati wa dukani?Question 26
- Chagua nomino katika sentensi hii. Wao hupenda kusoma kitabu.Question 27
- Andika upya sentensi hii ukitumia kiwakilishi. Wanafunzi walitia bidii katika masomo yao.Question 28
- Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?Question 29
- Mtu akikusalimu hujambo, utajibu vipi?Question 30
- Ni rangi gani kwenye bendera ya Kenya inayowakilisha amani na umoja?Question 1