CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 22
Mwezi wa sita katika mwaka huitwa
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.
22. Mwezi wa sita katika mwaka huitwa
- AJulai
- BJuni
- CSeptemba
- DAgosti
Answer
B. Juni
Januari, Februari, Machi, Aprili, Mei, Juni: Juni ni mwezi wa sita.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi hii. Msomaji alisoma kitabu hiki.Question 23
- Kinyume cha neno andika niQuestion 24
- Kifaa hiki hutumika kufanya kazi gani?Question 25
- Upi si msamiati wa dukani?Question 26
- Chagua nomino katika sentensi hii. Wao hupenda kusoma kitabu.Question 27
- Andika upya sentensi hii ukitumia kiwakilishi. Wanafunzi walitia bidii katika masomo yao.Question 28