naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 18

Nafasi ya 18

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Soma kifungu hiki kisha uchague jibu sahihi kujaza nafasi za 16 hadi 20.

Bahati na Maria ni wanafunzi wa __16__ ya nne. Shule zinapofungwa __17__ hupanga kazi ambazo watafanya wakati wa likizo. Bahati anapenda __18__ naye Maria anapenda biashara. Bahati anapenda kilimo __19__ anaogopa kukifanya. Maria naye anapanga kumsaidia mama __20__ kufanya biashara wakati huo wa likizo.

Nafasi ya 18

  1. Ashamba
  2. Bkilimo
  3. Ckufyeka
  4. Dulimaji

Answer

B. kilimo

"Bahati anapenda kilimo", kama inavyosema sentensi inayofuata.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test