CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025: Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha)
Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 38 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 38 questions with answers
- Question 1: Taarifa hii inasema kuwa kuna umuhimu wa kudumishaAnswer: C. afya bora.
- Question 2: Tumeambiwa kuwa chakula chetu lazima kiwe naAnswer: B. kabohaidreti, protini na vitamini.
- Question 3: Kulingana na taarifa, matundaAnswer: B. hutukinga tusiwe wagonjwa.
- Question 4: a. Hamisi alikuwa nani?Answer: Mkulima hodari
- Question 5: b. Tendo la kuondoa magugu shambani ni ___Answer: kupalilia
- Question 6: c. Taja nafaka mbili alizozipanda HamisiAnswer: Mahindi na mtama
- Question 7: d. Mtoto wa ndege huitwa ___Answer: kinda
- Question 8: e. Taja madhara moja ya magugu kwa shambaniAnswer: Hupigania rotuba na mimea mingine.
- Question 9: Nyumba ___ imebomoka.Answer: yake
- Question 10: Nafasi ya 1Answer: D. alipozidiwa
- Question 11: Nafasi ya 2Answer: A. chakula
- Question 12: Nafasi ya 3Answer: A. kulia
- Question 13: Nafasi ya 4Answer: B. tamaa
- Question 14: Nafasi ya 5Answer: D. kufa
- Question 15: ___ huendesha ndege.Answer: Rubani
- Question 16: Mkulima amenunua kitunguu.Answer: Wakulima wamenunua vitunguu.
- Question 17: Mtoto analia.Answer: Mtoto halii.
- Question 18: ___ huendesha gari.Answer: Dereva
- Question 19: Waimbaji wanaimba.Answer: Waimbaji hawaimbi.
- Question 20: Kulingana na habari, ni kweli kusema kuwaAnswer: C. bwana Sahara hawezi kufanya kazi peke yake dukani mle.
- Question 21: Dukakuu la Tulizo limejengwaAnswer: A. kando ya barabara kuu ya Jogoo.
- Question 22: Wakazi wanalipenda duka hili kwa kuwaAnswer: B. wanunuzi hupata bidhaa wanazohitaji.
- Question 23: Nafasi ya 1Answer: A. asubuhi
- Question 24: Nafasi ya 2Answer: C. mwalimu
- Question 25: Nafasi ya 3Answer: D. dira
- Question 26: Nafasi ya 4Answer: B. mashariki
- Question 27: Nafasi ya 5Answer: C. magharibi
- Question 28: Mama amekuja.Answer: Mama hajaja.
- Question 29: Mtoto ameenda kucheza.Answer: Watoto wameenda kucheza.
- Question 30: Njoo hapa.Answer: Usije hapa.
- Question 31: Andika nomino zozote tanoAnswer: Meza, kiti, mbuzi, Nairobi, mtoto
- Question 32: Mpira.Answer: Mipira
- Question 33: BaruaAnswer: Waraka
- Question 34: Baba wa mama yako.Answer: Babu
- Question 35: Kidole kimoja hakivunji ___Answer: chawa
- Question 36: Mavi ya kale ___Answer: hayanuki
- Question 37: Maji yakimwagika ___Answer: hayazoleki
- Question 38: Ndugu wa kiume.Answer: Kaka