naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 8

e. Taja madhara moja ya magugu kwa shambani

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu kisha ujibu maswali.

Hamisi alikuwa mkulima hodari. Alikuwa na shamba kubwa ambalo alipanda nafaka kama vile mahindi, mawele na mtama. Ndege ndio walikuwa tatizo kubwa kwake. Walikuwa wakija shambani kula mazao yake. Jambo hili lilimfanya akasirike na kutafuta njia ya kuwawinga wale ndege na watoto wao wanaojulikana kama kinda. Sehemu nyingine ya shamba lake utawapata wafanyi kazi wakipalilia magugu yaliyoota. Magugu ni mabaya kwani hupigania rotuba na mimea mingine. Pia husambaza magonjwa kwa mimea iliyo na afya. Aidha mkulima hutumia jembe ama panga kupalilia.

e. Taja madhara moja ya magugu kwa shambani

Answer

Hupigania rotuba na mimea mingine.

Magugu hupigania rotuba na mimea mingine na husambaza magonjwa kwa mimea iliyo na afya.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test