CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 7
d. Mtoto wa ndege huitwa ___
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Msamiati
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Hamisi alikuwa mkulima hodari. Alikuwa na shamba kubwa ambalo alipanda nafaka kama vile mahindi, mawele na mtama. Ndege ndio walikuwa tatizo kubwa kwake. Walikuwa wakija shambani kula mazao yake. Jambo hili lilimfanya akasirike na kutafuta njia ya kuwawinga wale ndege na watoto wao wanaojulikana kama kinda. Sehemu nyingine ya shamba lake utawapata wafanyi kazi wakipalilia magugu yaliyoota. Magugu ni mabaya kwani hupigania rotuba na mimea mingine. Pia husambaza magonjwa kwa mimea iliyo na afya. Aidha mkulima hutumia jembe ama panga kupalilia.
d. Mtoto wa ndege huitwa ________
Answer
kinda
Kifungu kinasema watoto wa ndege wanajulikana kama kinda.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.