CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 6
c. Taja nafaka mbili alizozipanda Hamisi
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Hamisi alikuwa mkulima hodari. Alikuwa na shamba kubwa ambalo alipanda nafaka kama vile mahindi, mawele na mtama. Ndege ndio walikuwa tatizo kubwa kwake. Walikuwa wakija shambani kula mazao yake. Jambo hili lilimfanya akasirike na kutafuta njia ya kuwawinga wale ndege na watoto wao wanaojulikana kama kinda. Sehemu nyingine ya shamba lake utawapata wafanyi kazi wakipalilia magugu yaliyoota. Magugu ni mabaya kwani hupigania rotuba na mimea mingine. Pia husambaza magonjwa kwa mimea iliyo na afya. Aidha mkulima hutumia jembe ama panga kupalilia.
c. Taja nafaka mbili alizozipanda Hamisi
Answer
Mahindi na mtama
Hamisi alipanda nafaka kama vile mahindi, mawele na mtama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.