CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 27
Nafasi ya 5
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu kifuatacho. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Jana __1__, kipindi cha kwanza kilikuwa cha Kiswahili. Kila mmoja wetu alifurahi kwa sababu __2__ wetu alituambia kuwa siku hiyo angetufundisha mengi kuhusu pande kuu za __3__. Alianza kwa kutueleza kuwa jua huchomoza __4__ na kutua au kuzama __5__. Jioni hiyo, tulitakiwa kulichora jua na kulipaka rangi.
Nafasi ya 5
- Akaskazini
- Bkusini
- Cmagharibi
- Dmashariki
Answer
C. magharibi
Jua hutua (huzama) magharibi.