naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 21

Dukakuu la Tulizo limejengwa

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1 hadi 3.

Dukakuu la Tulizo liko katika kaunti ya Konambaya. Ingawa kunayo madukakuu mengine, Tulizo ndilo kubwa zaidi. Limejengwa kando ya barabara kuu ya Jogoo katikati ya kituo cha polisi cha Pingu na soko la Malimali. Mwenye duka hilo anaitwa bwana Sahara. Bwana Sahara amewaajiri wafanyakazi sita. Wengi wao ni wanaume. Hata hivyo, wanawake wachache waliomo hufanya kazi nyepesi nyepesi tu. Bwana Sahara huhakikisha kuwa wateja wote wamehudumiwa vyema. Huwataka waende wakiwa wameridhika. Wakazi wengi hulipenda duka hili la bwana Sahara kwa sababu humo, wao hupata kila wanachohitaji kutoka unga hadi matunda.

2. Dukakuu la Tulizo limejengwa

  1. Akando ya barabara kuu ya Jogoo.
  2. Bnyuma ya soko la Malimali.
  3. Cmbele ya kituo cha polisi cha Pingu.
  4. Djuu ya kaunti ya Konambaya.

Answer

A. kando ya barabara kuu ya Jogoo.

"Limejengwa kando ya barabara kuu ya Jogoo."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test