naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 22

Wakazi wanalipenda duka hili kwa kuwa

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1 hadi 3.

Dukakuu la Tulizo liko katika kaunti ya Konambaya. Ingawa kunayo madukakuu mengine, Tulizo ndilo kubwa zaidi. Limejengwa kando ya barabara kuu ya Jogoo katikati ya kituo cha polisi cha Pingu na soko la Malimali. Mwenye duka hilo anaitwa bwana Sahara. Bwana Sahara amewaajiri wafanyakazi sita. Wengi wao ni wanaume. Hata hivyo, wanawake wachache waliomo hufanya kazi nyepesi nyepesi tu. Bwana Sahara huhakikisha kuwa wateja wote wamehudumiwa vyema. Huwataka waende wakiwa wameridhika. Wakazi wengi hulipenda duka hili la bwana Sahara kwa sababu humo, wao hupata kila wanachohitaji kutoka unga hadi matunda.

3. Wakazi wanalipenda duka hili kwa kuwa

  1. Abidhaa huuzwa kwa bei rahisi.
  2. Bwanunuzi hupata bidhaa wanazohitaji.
  3. Cbwana Sahara hupenda wateja wake wakifurahi.
  4. Dkuna unga na matunda kwa wingi.

Answer

B. wanunuzi hupata bidhaa wanazohitaji.

"…kwa sababu humo, wao hupata kila wanachohitaji kutoka unga hadi matunda."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test