CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 14
Nafasi ya 5
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu kifuatacho. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Fisi __1__ na njaa, aliamua kuelekea sehemu ambayo harufu ya __2__ yake ilinukia. Alipofika katika njiapanda, hakujua aelekee kushoto au __3__. Kwa ajili ya __4__ aliamua kuzifuata njia zote mbili. Hapo ndipo alipasuka na __5__ papo hapo.
Nafasi ya 5
- Akula
- Bkushiba
- Ckufufuka
- Dkufa
Answer
D. kufa
Alipasuka na kufa papo hapo kwa sababu ya tamaa yake.