naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 1

Taarifa hii inasema kuwa kuna umuhimu wa kudumisha

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1 hadi 3.

Kuna umuhimu mkuu wa kudumisha afya bora. Binadamu akiwa na afya bora, huweza kufanya shughuli zote vizuri na kwa wakati unaofaa. Ili kuwa na afya bora, ni vizuri kuzingatia lishe bora. Chakula tunachokila lazima kiwe na kabohaidreti, protini na vitamini kwa viwango vinavyofaa mwilini. Vile vile, ni vizuri kunywa maji safi na salama kila siku. Je, wajua kuwa matunda hutukinga tusiwe wagonjwa? Wapishi na watu wote wanaoandaa chakula ni lazima wawe safi ili tusipatwe na magonjwa.

1. Taarifa hii inasema kuwa kuna umuhimu wa kudumisha

  1. Alishe bora.
  2. Bchakula bora.
  3. Cafya bora.
  4. Dusafi.

Answer

C. afya bora.

Kifungu kinaanza, "Kuna umuhimu mkuu wa kudumisha afya bora."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test