CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 1 (2026) (Lugha)
Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · 27 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 27 questions with answers
- Question 1: Teya alinunua bidhaa aina ngapi?Answer: A. Tatu
- Question 2: Ni kweli kusema kuwaAnswer: A. Mwuzaji alikuwa na shamba
- Question 3: Ni bidhaa gani ilinunuliwa na Teya na huwa tunda?Answer: D. Nyanya
- Question 4: Teya alitumia pesa ngapi kununua bidhaa?Answer: C. 80
- Question 5: Mwuzaji alifaa kumpa Teya pesa ngapi?Answer: B. Shilingi ishirini
- Question 6: Ni nini maana ya nahau amekula chumvi nyingi?Answer: Kuzeeka au kuwa na miaka mingi.
- Question 7: Mzee Busara alikuwa na sifa gani kuu?Answer: Kusimulia hadithi.
- Question 8: Ni nani walihadithiwa kulingana na kifungu hiki?Answer: A. Wajukuu
- Question 9: Wajukuu walifurahia nini?Answer: Hadithi za babu yao.
- Question 10: Ni mwanafunzi yupi alitaja ndege pekee?Answer: B. Maria
- Question 11: Chagua mnyama ambaye huishi majini.Answer: D. Samaki
- Question 12: Ni mnyama gani ambaye hafugwi nyumbani?Answer: B. Swara
- Question 13: Chifu wa kijiji cha Huruma aliitwa nani?Answer: Bwana Jaliwatu.
- Question 14: Andika dalili moja ya ugonjwa wa kipindupinduAnswer: Kuendesha.
- Question 15: Ni jambo gani Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi?Answer: C. Kuchimba vyoo
- Question 16: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.Answer: C. kijiji
- Question 17: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.Answer: A. bilauri
- Question 18: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 18.Answer: B. televisheni
- Question 19: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 19.Answer: C. chane
- Question 20: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 20.Answer: D. nyumbani
- Question 21: Je, jua huchomoza wakati gani?Answer: A. Asubuhi
- Question 22: Ni kifaa kipi ambacho mwanafunzi hutumia kuandikia?Answer: B. Kalamu
- Question 23: Kanusha: Ninaenda.Answer: A. Siendi
- Question 24: Mtu anayeendesha ndege huitwaAnswer: Rubani.
- Question 25: Andika wingi wa sentensi hii: Kichwa changu.Answer: Vichwa vyetu.
- Question 26: Andika kinyume cha neno toka.Answer: Ingia.
- Question 27: Panga herufi hizi ili kuunda neno sahihi la Kiswahili aemzAnswer: Meza.