CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Je, jua huchomoza wakati gani?
From Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Kutoka swali la 21 hadi la 30, chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.
Je, jua huchomoza wakati gani?
- AAsubuhi
- BJioni
- CAdhuhuri
- DAlasiri
Answer
A. Asubuhi
Jua huchomoza (huonekana likitokea) asubuhi na kutua jioni.