CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Kanusha: Ninaenda.
From Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
Kutoka swali la 21 hadi la 30, chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.
Kanusha: Ninaenda.
- ASiendi
- BHakuendi
- CSikuenda
- DSitaenda
Answer
A. Siendi
"Ninaenda" ni nafsi ya kwanza, wakati uliopo. Ukanusho wake ni "Siendi". "Sikuenda" ni wakati uliopita na "Sitaenda" ni wakati ujao.