CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Chagua mnyama ambaye huishi majini.
From Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Wanafunzi wa gredi ya nne waliambiwa wataje wanyama. Tazama jedwali hili kisha ujibu swali la 10 hadi la 12.
| MWANAFUNZI | WANYAMA |
|---|---|
| Pato | Ngamia, punda |
| Maria | Kuku, bata |
| Osewe | Swara, simba |
| Musa | Mwewe, mbuzi |
| Kulei | Chura, samaki |
Chagua mnyama ambaye huishi majini.
- AKuku
- BPunda
- CMbuzi
- DSamaki
Answer
D. Samaki
Samaki huishi majini. Kuku, punda na mbuzi huishi nchi kavu.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni mnyama gani ambaye hafugwi nyumbani?Question 12
- Chifu wa kijiji cha Huruma aliitwa nani?Question 13
- Andika dalili moja ya ugonjwa wa kipindupinduQuestion 14
- Ni jambo gani Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi?Question 15
- Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.Question 16
- Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.Question 17