CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 13
Chifu wa kijiji cha Huruma aliitwa nani?
From Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 13 hadi la 15.
Chifu wa kijiji cha Huruma, Bwana Jaliwatu, ametoa mwito kwa wauzaji wa vyakula wazingatie usafi. Alisema kuwa, hiyo ndiyo njia pekee ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa hatari wa kipindupindu.
Bwana Jaliwatu aliyasema hayo kufuatia kuripotiwa visa vya ugonjwa huo katika kata jirani ya Matopeni. Aliwashauri wakazi watafute huduma za matibabu upesi, endapo watakuwa wa dalili za kuendesha, kutapika na kuumwa na tumbo.
Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi wachimbe vyoo.
"Wale ambao watakosa kufanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria," Chifu alisema.
Chifu wa kijiji cha Huruma aliitwa nani?
Answer
Bwana Jaliwatu.
Kifungu kinaanza: "Chifu wa kijiji cha Huruma, Bwana Jaliwatu…"
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Andika dalili moja ya ugonjwa wa kipindupinduQuestion 14
- Ni jambo gani Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi?Question 15
- Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.Question 16
- Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.Question 17
- Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 18.Question 18
- Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 19.Question 19