CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15
Ni jambo gani Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi?
From Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 13 hadi la 15.
Chifu wa kijiji cha Huruma, Bwana Jaliwatu, ametoa mwito kwa wauzaji wa vyakula wazingatie usafi. Alisema kuwa, hiyo ndiyo njia pekee ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa hatari wa kipindupindu.
Bwana Jaliwatu aliyasema hayo kufuatia kuripotiwa visa vya ugonjwa huo katika kata jirani ya Matopeni. Aliwashauri wakazi watafute huduma za matibabu upesi, endapo watakuwa wa dalili za kuendesha, kutapika na kuumwa na tumbo.
Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi wachimbe vyoo.
"Wale ambao watakosa kufanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria," Chifu alisema.
Ni jambo gani Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi?
- AKuwa wagonjwa
- BKuchimba visima
- CKuchimba vyoo
- DKuwa wachafu
Answer
C. Kuchimba vyoo
Kifungu kinasema: "Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi wachimbe vyoo."