CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
Wajukuu walifurahia nini?
From Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu swali la 6 hadi la 9.
Mzee Busara alikuwa amekula chumvi nyingi. Yaani alikuwa amezeeka sana. Moja ya sifa zake kuu kijijini ilikuwa ni kusimulia hadithi. Matamshi yake yalikuwa bora, nayo sauti yake ilikuwa kama ya ninga. Wakati wa jioni wajukuu wake walimzingira ili kupata uhondo wa hadithi zake zisizo na mwisho. Mara nyingi hadithi zake zilihusu jinsi ambavyo watu wa kitambo waliishi. Wajukuu wake walizidi kufurahia kila siku kwa sababu hadithi za babu yao ziliwachangamsha na kuwarekebisha kitabia.
Wajukuu walifurahia nini?
Answer
Hadithi za babu yao.
"Wajukuu wake walizidi kufurahia kila siku kwa sababu hadithi za babu yao ziliwachangamsha."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni mwanafunzi yupi alitaja ndege pekee?Question 10
- Chagua mnyama ambaye huishi majini.Question 11
- Ni mnyama gani ambaye hafugwi nyumbani?Question 12
- Chifu wa kijiji cha Huruma aliitwa nani?Question 13
- Andika dalili moja ya ugonjwa wa kipindupinduQuestion 14
- Ni jambo gani Bwana Jaliwatu aliwahimiza wananchi?Question 15