naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7

Mzee Busara alikuwa na sifa gani kuu?

From Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu swali la 6 hadi la 9.

Mzee Busara alikuwa amekula chumvi nyingi. Yaani alikuwa amezeeka sana. Moja ya sifa zake kuu kijijini ilikuwa ni kusimulia hadithi. Matamshi yake yalikuwa bora, nayo sauti yake ilikuwa kama ya ninga. Wakati wa jioni wajukuu wake walimzingira ili kupata uhondo wa hadithi zake zisizo na mwisho. Mara nyingi hadithi zake zilihusu jinsi ambavyo watu wa kitambo waliishi. Wajukuu wake walizidi kufurahia kila siku kwa sababu hadithi za babu yao ziliwachangamsha na kuwarekebisha kitabia.

Mzee Busara alikuwa na sifa gani kuu?

Answer

Kusimulia hadithi.

Kifungu kinasema: "Moja ya sifa zake kuu kijijini ilikuwa ni kusimulia hadithi."

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test