CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term 1 Assessment 2025 (Set 6)
Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: ZOEZI LA KWANZA: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Taja majina ya marafiki hawa.Answer: Masha, Mapenzi na Charo.
- Question 2: b) Eleza kwa ufupi jinsi ya kuosha vyombo.Answer: Tunaweka maji kwenye karai, tunaongeza sabuni, tunasugua vyombo, tunasuuza kwa maji safi na kuvianika.
- Question 3: c) Marafiki hao walisaidiana kufanya nini?Answer: Kuosha vyombo.
- Question 4: d) Wewe hucheza wapi? (Unaweza kutumia jibu la kubuni.)Answer: Mimi hucheza uwanjani.
- Question 5: e) Kazi zipi ambazo marafiki hao husaidiana?Answer: Kuosha vyombo.
- Question 6: ZOEZI LA PILI: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi kwa sauti (maneno 60 kwa dakika 1).Answer: Mungu aliumba dunia na kila kinachopatikana humo. Aliumba anga, angani akaweka jua, mwezi na nyota. Jua…
- Question 7: ZOEZI LA TATU: UFAHAMU 1. a) Wanafunzi walienda mbuga ya wanyama wapi?Answer: Maasai Mara
- Question 8: b) Ni nani huja kuwaona wanyama hawa?Answer: watalii
- Question 9: c) Andika wanyama wawili waliowaona.Answer: simba, twiga
- Question 10: a) Taja ndege watatu wanaofugwa nyumbani.Answer: kuku, bata, njiwa
- Question 11: b) Andika faida mbili za ndege wa nyumbani.Answer: mayai, nyama
- Question 12: a) Bwana Hodari alikuwa ___Answer: maskini
- Question 13: b) Mahindi yalizaa mazao ___Answer: mengi
- Question 14: c) Bwana Hodari alipanda nini?Answer: mahindi
- Question 15: d) Baada ya kuuza mahindi, Bwana Hodari alipata ___Answer: pesa nyingi
- Question 16: ZOEZI LA NNE: SARUFI 1. Jaza nafasi kwa herufi inayofaa a) sh _ k _Answer: shoka
- Question 17: b) r _ ng _Answer: rangi
- Question 18: Kamilisha sentensi hizi a) Tunatumia ___ kulima.Answer: jembe
- Question 19: b) Mama hutumia ___ kupasulia kuni.Answer: shoka
- Question 20: c) ___ hutumiwa kukata muwa.Answer: Kisu
- Question 21: Unda maneno ukitumia sauti hizi. a) fyAnswer: fyeka
- Question 22: b) bwAnswer: bwana
- Question 23: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ___ mtaenda kwa babu na nyanya kesho. (nyinyi, wewe)Answer: A. nyinyi
- Question 24: Panga herufi hizi ili kuunda neno sahihi la Kiswahili. ebagAnswer: bega
- Question 25: Kikapu hiki kina maneno katika hali ya wingi. Ni neno lipi haliko katika hali ya wingi?Answer: C. mkebe
- Question 26: Andika neno, ukianzia kwa herufi gAnswer: gari
- Question 27: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi Yusufu a __ fagia darasa jana jioni. (na, li, ta)Answer: B. li
- Question 28: Andika kwa wingi. a) Mnyama huyu ni hatari.Answer: Wanyama hawa ni hatari.
- Question 29: b) Mpira wako umepotea.Answer: Mipira yenu imepotea.
- Question 30: SEHEMU B: INSHA Andika insha kuhusu DARASA LETU. (Unaweza kutumia majina ya kubuni.)Answer: Darasa letu ni gredi ya tatu. Lina wanafunzi arobaini. Mwalimu wetu wa darasa anaitwa Bi Wanjiku. Darasani…