naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 8

b) Ni nani huja kuwaona wanyama hawa?

From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

1. Mbuga ya Wanyama
Wiki iliyopita, mwalimu wetu alitupeleka kwenye mbuga ya wanyama ya Maasai Mara. Tuliona wanyama wengi wa porini kama nyati, simba, ndovu, kifaru na twiga. Mwalimu wetu alituambia watalii hutoka nchi za nje kuja kuwaona wanyama hawa. Tulifurahia sana.

b) Ni nani huja kuwaona wanyama hawa?

Answer

watalii

Watalii hutoka nchi za nje kuja kuwaona.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test