CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 10
a) Taja ndege watatu wanaofugwa nyumbani.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 3 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
2. Ndege wa Nyumbani
Nyumbani kuna ndege wengi ambao hufugwa kama vile kuku, bata, njiwa na bata mzinga. Ndege hufugwa kwa sababu hutupatia mayai na nyama. Nyama ya kuku huwa tamu sana. Ndege hutunzwa kama wanyama wale wengine.
2. a) Taja ndege watatu wanaofugwa nyumbani.
Answer
kuku, bata, njiwa
Ndege wa nyumbani ni kuku, bata, njiwa na bata mzinga.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- b) Andika faida mbili za ndege wa nyumbani.Question 11
- a) Bwana Hodari alikuwa ___Question 12
- b) Mahindi yalizaa mazao ___Question 13
- c) Bwana Hodari alipanda nini?Question 14
- d) Baada ya kuuza mahindi, Bwana Hodari alipata ___Question 15
- ZOEZI LA NNE: SARUFI 1. Jaza nafasi kwa herufi inayofaa a) sh _ k _Question 16