CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 15
d) Baada ya kuuza mahindi, Bwana Hodari alipata ___
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
3. Mkulima Hodari
Bwana Hodari alikuwa maskini sana. Watu walimchekelea sana. Siku moja, alipanda mahindi. Mahindi yalizaa mazao mengi. Aliyauza mahindi hayo bei nzuri akapata pesa nyingi.
d) Baada ya kuuza mahindi, Bwana Hodari alipata ___________
Answer
pesa nyingi
Alipata pesa nyingi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- ZOEZI LA NNE: SARUFI 1. Jaza nafasi kwa herufi inayofaa a) sh _ k _Question 16
- Kamilisha sentensi hizi a) Tunatumia ___ kulima.Question 18
- b) Mama hutumia ___ kupasulia kuni.Question 19
- c) ___ hutumiwa kukata muwa.Question 20
- Unda maneno ukitumia sauti hizi. a) fyQuestion 21
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ___ mtaenda kwa babu na nyanya kesho. (nyinyi, wewe)Question 23