CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 21
Unda maneno ukitumia sauti hizi. a) fy
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Kuandika, Silabi
3. Unda maneno ukitumia sauti hizi.
a) fy
Answer
fyeka
Maneno yenye fy: fyeka, fyagio, fyatua.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ___ mtaenda kwa babu na nyanya kesho. (nyinyi, wewe)Question 23
- Panga herufi hizi ili kuunda neno sahihi la Kiswahili. ebagQuestion 24
- Kikapu hiki kina maneno katika hali ya wingi. Ni neno lipi haliko katika hali ya wingi?Question 25
- Andika neno, ukianzia kwa herufi gQuestion 26
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi Yusufu a __ fagia darasa jana jioni. (na, li, ta)Question 27
- Andika kwa wingi. a) Mnyama huyu ni hatari.Question 28