naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 25

Kikapu hiki kina maneno katika hali ya wingi. Ni neno lipi haliko katika hali ya wingi?

From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

Kikapu chenye maneno: maembe, wanafunzi, mkebe, vifutio

6. Kikapu hiki kina maneno katika hali ya wingi. Ni neno lipi haliko katika hali ya wingi?

  1. Amaembe
  2. Bwanafunzi
  3. Cmkebe
  4. Dvifutio

Answer

C. mkebe

Mkebe ni umoja (wingi ni mikebe).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test