CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 27
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi Yusufu a __ fagia darasa jana jioni. (na, li, ta)
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
8. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi
Yusufu a __ fagia darasa jana jioni. (na, li, ta)
- Ana
- Bli
- Cta
Answer
B. li
"Jana" ni wakati uliopita: alifagia.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Andika kwa wingi. a) Mnyama huyu ni hatari.Question 28
- b) Mpira wako umepotea.Question 29
- SEHEMU B: INSHA Andika insha kuhusu DARASA LETU. (Unaweza kutumia majina ya kubuni.)Question 30
- ZOEZI LA KWANZA: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Taja majina ya marafiki hawa.Question 1
- b) Eleza kwa ufupi jinsi ya kuosha vyombo.Question 2
- c) Marafiki hao walisaidiana kufanya nini?Question 3