CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 14
c) Bwana Hodari alipanda nini?
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
3. Mkulima Hodari
Bwana Hodari alikuwa maskini sana. Watu walimchekelea sana. Siku moja, alipanda mahindi. Mahindi yalizaa mazao mengi. Aliyauza mahindi hayo bei nzuri akapata pesa nyingi.
c) Bwana Hodari alipanda nini?
Answer
mahindi
Alipanda mahindi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- d) Baada ya kuuza mahindi, Bwana Hodari alipata ___Question 15
- ZOEZI LA NNE: SARUFI 1. Jaza nafasi kwa herufi inayofaa a) sh _ k _Question 16
- Kamilisha sentensi hizi a) Tunatumia ___ kulima.Question 18
- b) Mama hutumia ___ kupasulia kuni.Question 19
- c) ___ hutumiwa kukata muwa.Question 20
- Unda maneno ukitumia sauti hizi. a) fyQuestion 21