CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 9
c) Andika wanyama wawili waliowaona.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
1. Mbuga ya Wanyama
Wiki iliyopita, mwalimu wetu alitupeleka kwenye mbuga ya wanyama ya Maasai Mara. Tuliona wanyama wengi wa porini kama nyati, simba, ndovu, kifaru na twiga. Mwalimu wetu alituambia watalii hutoka nchi za nje kuja kuwaona wanyama hawa. Tulifurahia sana.
c) Andika wanyama wawili waliowaona.
Answer
simba, twiga
Waliona nyati, simba, ndovu, kifaru na twiga.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.