naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 7

ZOEZI LA TATU: UFAHAMU 1. a) Wanafunzi walienda mbuga ya wanyama wapi?

From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

1. Mbuga ya Wanyama
Wiki iliyopita, mwalimu wetu alitupeleka kwenye mbuga ya wanyama ya Maasai Mara. Tuliona wanyama wengi wa porini kama nyati, simba, ndovu, kifaru na twiga. Mwalimu wetu alituambia watalii hutoka nchi za nje kuja kuwaona wanyama hawa. Tulifurahia sana.

ZOEZI LA TATU: UFAHAMU
1. a) Wanafunzi walienda mbuga ya wanyama wapi?

Answer

Maasai Mara

Walienda mbuga ya wanyama ya Maasai Mara.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test