naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 6

ZOEZI LA PILI: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi kwa sauti (maneno 60 kwa dakika 1).

From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Mungu aliumba dunia na kila kinachopatikana humo. Aliumba anga, angani akaweka jua, mwezi na nyota. Jua huangaza mchana na mwezi humulika usiku. Mungu alitenga sehemu ya maji na ardhi kavu. Aliita sehemu ya maji bahari. Kwenye ardhi alisema kuwe na miti ya kila aina. Miti inayozaa matunda na isiyozaa matunda. Mimea iliyo na maua ya kupendeza na mingine isiyo na maua.
Mungu alisema kuwe na ndege wa kila aina. Aliwaumba ndege wanaopaa angani na wanaotembea ardhini.

ZOEZI LA PILI: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi kwa sauti (maneno 60 kwa dakika 1).

Answer

Mungu aliumba dunia na kila kinachopatikana humo. Aliumba anga, angani akaweka jua, mwezi na nyota. Jua huangaza mchana na mwezi humulika usiku. Mungu alitenga sehemu ya maji na ardhi kavu. Aliita sehemu ya maji bahari. Kwenye ardhi alisema kuwe na miti ya kila aina. Miti inayozaa matunda na isiyozaa matunda. Mimea iliyo na maua ya kupendeza na mingine isiyo na maua. Mungu alisema kuwe na ndege wa kila aina. Aliwaumba ndege wanaopaa angani na wanaotembea ardhini.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test