CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam: Revision 5 Kiswahili Karatasi 1
Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi, Fasihi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Mwandishi anasema kuwa kwa kawaida watu huanza mwakaAnswer: A. kwa shughuli mbalimbali
- Question 2: Msimulizi anasema ya kwamba mwaka mpya unapoanza wanafunzi wengiAnswer: C. huingia darasa jingine
- Question 3: Mashamba hutayarishwa ili unapofika msimu wa masikaAnswer: C. yaweze kupandwa mimea
- Question 4: Kulingana na habari hii baadhi ya vyombo vinavyotumiwa kulima niAnswer: D. plau, majembe na tingatinga
- Question 5: Maelezo yapi si sahihi kuhusu habari hii?Answer: A. Mwaka unapoanza kilamwanafunzi huenda
- Question 6: Kutokana na habari hii tunapata kuwaAnswer: C. kila mwaka huanza na mambo mapya
- Question 7: Funzo tunalopata katika habari hii ni kuwaAnswer: B. mchango wakila mtu kikazi hunufaisha nchi
- Question 8: Kuhamia mahali niAnswer: A. kwenda nn kuishi mahali fulani
- Question 9: Safari ndefuya m waka" ni kusema A, muda mrefu wa mwakamzimaAnswer: A. pia
- Question 10: A, muda mrefu wa mwakamzimaAnswer: A. pia
- Question 11: Kizere aliacha kwenda ShuleAnswer: C. kwa sababu hakuwa akilipa karo za Shule
- Question 12: Watoto walioelimishwaAnswer: C. walifanikiwa kupata kazi zenye ujira mzuri
- Question 13: Kutokana na kutoelimika vyemaAnswer: B. Kizere alifanya kazi za IQ1jitafttia chakula tu
- Question 14: Kulingana na makala uliyosoma tunapata kuwaAnswer: A. ni muhimu sana mtu kuelimika
- Question 15: Lengo la mwandishi katika makala haya niAnswer: A. kuhimiza wazazi kuelimisha watoto wao
- Question 16: Ni methali gani ingetumiwakumhadharisha Digo kuhusu elimu ya mwanawe?Answer: B. Mchelea mwana kulia hulia yeye
- Question 17: Kulingana na habari ni kwa nini mtu aliye na elimu kubwa hulipwa vyema kuliko yule wa elimu ya kiwango cha chini? A I-fiinikwasababuAnswer: C. Ana uwezo mkubwa wa kupnnga nn
- Question 18: Neno lililotumika lenye mnana sawn na "wavyele" niAnswer: D. wazazi
- Question 19: Sentensi ‘lakini wapi?’ inaonyeshaAnswer: C. kukosa kufanikiwa
- Question 20: Kifungu: Alikuwa haambiliki ni kusemaAnswer: B. hakujali aliyoambiwa
- Question 21: Maneno "tunapopiga deki" yamepigiwa msitari kumaanishaAnswer: B. kusafisha kwa kutumia maji na dodoki
- Question 22: Ni vitendo gani kati ya hivi huchafua mazingira?Answer: B. kutupa taka mtoni
- Question 23: Kwa nini Talia aliambiwa atumie chumvi anaposafisha hanchifu yake?Answer: C. Ili kupunguza kamasi kwenye hanchifu
- Question 24: Ni ipi kati ya hivi vifaa haipaswi kutumika kusafisha hanchifuAnswer: C. Dodoki
- Question 25: Ipi kati ya hizi ni maana ya mazingiraAnswer: B. Jumia ya yale yote yatuzungukayo
- Question 26: Nilimwangalia Daniella ___26___ kumwelewa.Answer: B. nikashindwa
- Question 27: Alionekana ___27___ wa mawazo.Answer: D. mwingi
- Question 28: Akili ___28___ zilikuwa mbali na kiwiliwili chake.Answer: B. yake
- Question 29: Akili zake zilikuwa mbali ___29___ kiwiliwili chake.Answer: A. na
- Question 30: Akili zake zilikuwa mbali na kiwiliwili ___30___.Answer: C. chake
- Question 31: Mwenyewe hayupo. Akili zake ___31___.Answer: D. hazipo
- Question 32: Hakuwa na neno la ___32___.Answer: A. kusema
- Question 33: Kila jambo lililosemwa ___33___ machozi.Answer: C. lilimtoza
- Question 34: Kila jambo lililosemwa lilimtoa machozi ___34___.Answer: B. pukupuku
- Question 35: Hakufahamu afanye nini ___35___ huo.Answer: B. wakati
- Question 36: Ungemfananisha na mtu ___36___ na msiba.Answer: A. aliyepatwa
- Question 37: Alisubiri kuambiwa ___37___ lakini hapakuwa na yeyote wa kumpoza.Answer: D. makiwa
- Question 38: Hapakuwa na yeyote wa ___38___.Answer: C. kumhani
- Question 39: Kila mtu alimwomba ___39___ kusema naye.Answer: B. asitake
- Question 40: Chagua nomino za ngeli ya U–U.Answer: A. Wali, uhuru
- Question 41: Ni sentensi ipi iliyo sahihi?Answer: D. Hapa pana miti mingi
- Question 42: Msemo upi una maana ya ‘kushirikiana katika jambo’?Answer: B. Changa bia
- Question 43: Andika sentensi ifuatayo katika udogo Mbwa amepigwajiweAnswer: C. Kijibwa kimepigwa kijiwe
- Question 44: Unganisha sentensi hizi mbili Yona alisoma kitabu. Alichoka sanaAnswer: C. Yona alisoma kitabu na kuchoka sana
- Question 45: Kati ya yafuatayo lipi si neno la adabu?Answer: A. Sayidi
- Question 46: Andika wingi wa: Ganda la muwa Iajana chungu kaona kivunoAnswer: D. Maganda yamiwa yajana chunguhuona
- Question 47: Kati ya mapambo haya ni lipi halivaliwi sikioni?Answer: D. Ndonya
- Question 48: Polepole, vibaya, alasiri, njiani ni aina yaAnswer: A. vielezi
- Question 49: Tano ni kwa chokaa kitita ni lavaAnswer: C. pesa
- Question 50: Kipande cha pili katika shairi kwenye mshororoAnswer: A. mloto