CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 12
Watoto walioelimishwa
From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 11–20
Paliishi mtu mmoja aliyeitwa Digo na mkewe pamoja na mwanawe wa kiume aliyeitwa Kizere. Mtoto
huyu alipofikia umri wa kwenda Shule babake hakushughulika sana. Alisema kuwa watoto wa siku hizi
waelimishwe au la, ni sawa tu maana hakuna kazi. Kwa upande wake, Kizere alitamani sana kusoma kama
wenzake ambao walikuwa wakienda Shule ili kupata elimu barabara. Yeye alipotumwa nyurnbani kuleta fedha
åilani ama kumwita mzazi wake, hakuweza kurudi shuleni. Baba alikuwa akimweleza wazi kuwa kumwelimisha
ni kupoteza pesa zake bure ambazo aliziona adimu kweli kwani hazikutosheleza mahitaji yake yote.
Kizere na mamake walimbembeleza kwa kila narnna ili aweze kubadili nia yake lakini wapi? Waliambulia
nunge. Digo alikuwa sugu ajabu. Alikuwa haambiliki. I-latimaye, maskini Kizere aliacha masomo bila kumaliza
darasa la nane. Maka ikafukuzana mithili ya magurudumu ya gari bila kushikana. Wenzake walioelimika walülitimu
na kupata kazi bora zenye madaraka na mishahara mizuri. Waliwachukua na kuwalea vyema wavyele wao.
Kizere hakubahatika kupata kazi ya maana kutokana na elimu yake duni. Alifanya kazi za kijungujiko tu. Hizo
haikukidhi mahit4jiyake na yawazazi wake waliokuwa wakongwe. Naam, babamtoto alitambuamatokeoya mchelea
mwanakuliæAIijuta sanakwakukataakumwelimishamwanawe ambaye angekuwa akimsaidia walivyomnyawatoto
wamajirani zake. Kuliakwake kulikuwa ni kazi bure kwani aliyaacha mwenyewe maziwa yakamwagika.

- Awalikosa kupata kazi za maana
- Bhawakuhitirnuvyema ingawawalipata kazi nzuri
- Cwalifanikiwa kupata kazi zenye ujira mzuri
- Dwalikosa kupata kazi walizotarajia
Answer
C. walifanikiwa kupata kazi zenye ujira mzuri
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kutokana na kutoelimika vyemaQuestion 13
- Kulingana na makala uliyosoma tunapata kuwaQuestion 14
- Lengo la mwandishi katika makala haya niQuestion 15
- Ni methali gani ingetumiwakumhadharisha Digo kuhusu elimu ya mwanawe?Question 16
- Kulingana na habari ni kwa nini mtu aliye na elimu kubwa hulipwa vyema kuliko yule wa elimu ya kiwango cha chini? A…Question 17
- Neno lililotumika lenye mnana sawn na "wavyele" niQuestion 18