naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 6

Kutokana na habari hii tunapata kuwa

From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Kifungu cha Maswali 1–10
Mwaka unapoanza kuna shughuli aina kadha. Kwa wanafunzi wanaoendelea namasÖmo ni wakati mwingine
wa kwenda katika gredi yajuu. Shule zifunguliwapo wataanza safari ndefu ya mwaka mzima katika gredi moja.
Wengine wachache huhamia Shule nyingine na kukutana na wanafunzi wapya kabisa.
Kwa wafanyikazi, ni mwanzo tena wa mwaka mwingine wa kuchapa kazi baada ya likizo, furaha na sherehe
krismasi na kufunguliwa kwa mwaka mpya. Wakulima vilevile huanza kutifua ardhi ili kuitayarisha kwa
upanzi wakati wa masika ufikapo. Wengine hulima kwa trekta ilhali kuna baadhi yao ambao hutumia plau
inayokokotwa na wanyama, hasa ng' ombe ama punda. Hali kadhalika, kuna wengine wanaotumia m@jembe ya
ono. Kwa hakika, huwa ni kilimo cha kufa na kupona.
Ama kwa kweli, mwanzo wa kila mwaka huwa tena ndio mwanzo wa shughuli tofauti tofauti kwa kila
mtu. Hivyo basi ni bidii najitihada tu ndizo zinazotakikana ili mafanikio yapatikane kila mtu binafsi na
taifa kwa iumla.

Kutokana na habari hii tunapata kuwa

  1. Amambo mapya huanzisha mwaka
  2. Bkila mwaka huanzisha mambo mapya
  3. Ckila mwaka huanza na mambo mapya
  4. Dkila mwaka humalizika na mambo mageni

Answer

C. kila mwaka huanza na mambo mapya

The correct option is C.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test