CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 7
Funzo tunalopata katika habari hii ni kuwa
From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 1–10
Mwaka unapoanza kuna shughuli aina kadha. Kwa wanafunzi wanaoendelea namasÖmo ni wakati mwingine
wa kwenda katika gredi yajuu. Shule zifunguliwapo wataanza safari ndefu ya mwaka mzima katika gredi moja.
Wengine wachache huhamia Shule nyingine na kukutana na wanafunzi wapya kabisa.
Kwa wafanyikazi, ni mwanzo tena wa mwaka mwingine wa kuchapa kazi baada ya likizo, furaha na sherehe
krismasi na kufunguliwa kwa mwaka mpya. Wakulima vilevile huanza kutifua ardhi ili kuitayarisha kwa
upanzi wakati wa masika ufikapo. Wengine hulima kwa trekta ilhali kuna baadhi yao ambao hutumia plau
inayokokotwa na wanyama, hasa ng' ombe ama punda. Hali kadhalika, kuna wengine wanaotumia m@jembe ya
ono. Kwa hakika, huwa ni kilimo cha kufa na kupona.
Ama kwa kweli, mwanzo wa kila mwaka huwa tena ndio mwanzo wa shughuli tofauti tofauti kwa kila
mtu. Hivyo basi ni bidii najitihada tu ndizo zinazotakikana ili mafanikio yapatikane kila mtu binafsi na
taifa kwa iumla.

- Aili kupata mafanikio ni lazima mtu afanye
- Bmchango wakila mtu kikazi hunufaisha nchi
- Cwanafunzi hunufaishn nchi kwn kazi
- Dnchi hunufaisha watu wake kwa kuwnfnnyia
Answer
B. mchango wakila mtu kikazi hunufaisha nchi
The correct option is B.