naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 28

Akili ___28___ zilikuwa mbali na kiwiliwili chake.

From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)

Kifungu chenye nafasi za Maswali 26–39
Nilimwangalia Daniella ___26___ kumwelewa. Alionekana ___27___ wa mawazo. Akili ___28___ zilikuwa mbali ___29___ kiwiliwili ___30___. Mwenyewe hayupo. Akili zake ___31___. Hakuwa na neno la ___32___. Kila jambo lililosemwa ___33___ machozi ___34___. Hakufahamu afanye nini ___35___ huo. Ungemfananisha na mtu ___36___ na msiba akasubiri kuambiwa ___37___ lakini hapakuwa na yeyote wa ___38___. Kila mtu alimwomba ___39___ kusema naye. Eti hayo ndiyo maisha ya wanadamu. Pole dada. Vumilia.

Akili ___28___ zilikuwa mbali na kiwiliwili chake.

  1. Ayetu
  2. Byake
  3. Czake
  4. Dyangu

Answer

B. yake

The correct option is B.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test