naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 44

Unganisha sentensi hizi mbili Yona alisoma kitabu. Alichoka sana

From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi

Unganisha sentensi hizi mbili
Yona alisoma kitabu. Alichoka sana

  1. AYona alisoma kitabu cha kuchokesha
  2. BYona alichoka sana kabla ya kusoma
  3. CYona alisoma kitabu na kuchoka sana
  4. DYona akisoma kitabu kuchoka sana

Answer

C. Yona alisoma kitabu na kuchoka sana

The correct option is C.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test