naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 43

Andika sentensi ifuatayo katika udogo Mbwa amepigwajiwe

From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Udogo na Ukubwa wa Nomino

Andika sentensi ifuatayo katika udogo
Mbwa amepigwajiwe

  1. AKimbwa amepigwa kijiwe
  2. BKijibwa amepigwa kijiwe
  3. CKijibwa kimepigwa kijiwe
  4. DKijibwa kimepigwajiwe

Answer

C. Kijibwa kimepigwa kijiwe

The correct option is C.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test