CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 23
Kwa nini Talia aliambiwa atumie chumvi anaposafisha hanchifu yake?
From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Mazungumzo ya Maswali 21–25
Elin:
Hujambo Talia?
(Huku akimpa mkono) Sijambo Elia
Talia:
Elia:
Nashukuru, Je unajua tunastahili kuhifadhi usafi wa mazingira?
Talia:
Tunastahili kupenga kwa kutumia hanchifil
Elia:
Baada ya kutumia hanchifu tutaisafisha
Mlezi wangu aliniambia ninaweza kutumia chumvi na maji safi ili kutoa kamasi lote
Talia:
Shuleni tunapiqa deki Sisi huokota taka zote na kuzitupa kwenyejalala
Elia:
Hiyo ni njia ya kutunza mazingira. Tunafaa piakutumia choo kuenda haja na tutumie karatasi shashi.
Talia:
(Huku akitikisa kich wa kukubaliana naye) Asante sana kwa kunielimisha.
Elia:
Talia:
Nashulcuru sana kwa muda wako. Kwaheri ya kuonana.

- AIli iwe safi
- BIli hanchifu inukie vizuri
- CIli kupunguza kamasi kwenye hanchifu
- DIli kutoa kamasi kwenye hanchifu
Answer
C. Ili kupunguza kamasi kwenye hanchifu
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni ipi kati ya hivi vifaa haipaswi kutumika kusafisha hanchifuQuestion 24
- Ipi kati ya hizi ni maana ya mazingiraQuestion 25
- Nilimwangalia Daniella ___26___ kumwelewa.Question 26
- Alionekana ___27___ wa mawazo.Question 27
- Akili ___28___ zilikuwa mbali na kiwiliwili chake.Question 28
- Akili zake zilikuwa mbali ___29___ kiwiliwili chake.Question 29