naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 22

Ni vitendo gani kati ya hivi huchafua mazingira?

From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji

Mazungumzo ya Maswali 21–25
Elin:
Hujambo Talia?
(Huku akimpa mkono) Sijambo Elia
Talia:
Elia:
Nashukuru, Je unajua tunastahili kuhifadhi usafi wa mazingira?
Talia:
Tunastahili kupenga kwa kutumia hanchifil
Elia:
Baada ya kutumia hanchifu tutaisafisha
Mlezi wangu aliniambia ninaweza kutumia chumvi na maji safi ili kutoa kamasi lote
Talia:
Shuleni tunapiqa deki Sisi huokota taka zote na kuzitupa kwenyejalala
Elia:
Hiyo ni njia ya kutunza mazingira. Tunafaa piakutumia choo kuenda haja na tutumie karatasi shashi.
Talia:
(Huku akitikisa kich wa kukubaliana naye) Asante sana kwa kunielimisha.
Elia:
Talia:
Nashulcuru sana kwa muda wako. Kwaheri ya kuonana.

Ni vitendo gani kati ya hivi huchafua mazingira?

  1. Akupata vumbi mezani
  2. Bkutupa taka mtoni
  3. Ckumwaga maji kwenye sakafu lenye vumbi
  4. Dkutumia choo vizuri

Answer

B. kutupa taka mtoni

The correct option is B.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test