CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 21
Maneno "tunapopiga deki" yamepigiwa msitari kumaanisha
From Test 99 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Mazungumzo ya Maswali 21–25
Elin:
Hujambo Talia?
(Huku akimpa mkono) Sijambo Elia
Talia:
Elia:
Nashukuru, Je unajua tunastahili kuhifadhi usafi wa mazingira?
Talia:
Tunastahili kupenga kwa kutumia hanchifil
Elia:
Baada ya kutumia hanchifu tutaisafisha
Mlezi wangu aliniambia ninaweza kutumia chumvi na maji safi ili kutoa kamasi lote
Talia:
Shuleni tunapiqa deki Sisi huokota taka zote na kuzitupa kwenyejalala
Elia:
Hiyo ni njia ya kutunza mazingira. Tunafaa piakutumia choo kuenda haja na tutumie karatasi shashi.
Talia:
(Huku akitikisa kich wa kukubaliana naye) Asante sana kwa kunielimisha.
Elia:
Talia:
Nashulcuru sana kwa muda wako. Kwaheri ya kuonana.

Maneno "tunapopiga deki" yamepigiwa
msitari kumaanisha
- Akutupa takataka kwa njia inayofaa
- Bkusafisha kwa kutumia maji na dodoki
- Ckupanga madawati darasani
- Dkutunza mazingira
Answer
B. kusafisha kwa kutumia maji na dodoki
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni vitendo gani kati ya hivi huchafua mazingira?Question 22
- Kwa nini Talia aliambiwa atumie chumvi anaposafisha hanchifu yake?Question 23
- Ni ipi kati ya hivi vifaa haipaswi kutumika kusafisha hanchifuQuestion 24
- Ipi kati ya hizi ni maana ya mazingiraQuestion 25
- Nilimwangalia Daniella ___26___ kumwelewa.Question 26
- Alionekana ___27___ wa mawazo.Question 27