CBC Grade 7 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term One Assessment 2025 (Set 6)
Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 34 questions
Topics: Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi.
All 34 questions with answers
- Question 1: Makala haya yanazungumzia juu ya nini? (alama 1)Answer: Umuhimu wa miti na utunzaji wake.
- Question 2: Taja umuhimu wa miti kwa watu. (alama 2)Answer: Hutupa chakula kama matunda, na dawa za kutibu magonjwa.
- Question 3: Ni kipi kilichofanyika duniani baada ya kutambua umuhimu wa miti? (alama 2)Answer: Watu duniani walitenga siku maalum kila mwaka ya kupanda miti.
- Question 4: Andika msemo uliotajwa kuhusiana na ukataji wa miti. (alama 1)Answer: Ukikata mti mmoja panda miwili.
- Question 5: Hotuba hii ilikuwa ikitolewa na nani? (alama 1)Answer: Mwalimu mkuu.
- Question 6: Madhumuni ya mkutano huo yalikuwa yapi? (alama 2)Answer: Kuzungumzia umuhimu wa ushirikiano baina ya viongozi, walimu na wanafunzi ili shule ipate maendeleo na…
- Question 7: Mwandishi alikusudia nini aliposema, 'umoja ni nguvu?' (alama 2)Answer: Kwamba wote shuleni wakishirikiana – wavulana kwa wasichana – watafanikiwa kuliko kila mmoja peke yake.
- Question 8: Ni tatizo gani walilokuwa wakikumbana nalo wanafunzi wa shule ya Namundera? (alama 2)Answer: Matokeo duni kwa kukosa ushirikiano, huku shule nyingine zikifanya vizuri.
- Question 9: Andika methali moja iliyotajwa kwenye ufahamu. (alama 2)Answer: Ngozi ivute ingali mbichi.
- Question 10: Kwa nini mkulima huyu anajiita mpumbavu wa kilimo? (alm 1)Answer: Kwa sababu hakuwa na ujuzi wa kilimo na alikataa ushauri, akavuna mbegu alizopaswa kuziacha shambani.
- Question 11: Kwa maneno yasiyozidi arobaini; andika matukio ya kisa hiki kwa ufupi? (alm 4)Answer: Mkulima mpumbavu alijigamba angevuna sana. Wafanyakazi walipanda mbegu vizuri, lakini aliwaamuru wasafishe…
- Question 12: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 12.Answer: B. moja
- Question 13: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 13.Answer: C. akichanja
- Question 14: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 14.Answer: B. kububujika
- Question 15: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 15.Answer: C. sindano
- Question 16: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 16.Answer: B. bandeji
- Question 17: SEHEMU YA C: SARUFI Andika wingi wa nomino hizi. 17. upishiAnswer: Mapishi
- Question 18: uweleAnswer: Mawele
- Question 19: uziAnswer: Nyuzi
- Question 20: Kamilisha methali hizi. 20. Mchumia juani ...Answer: hulia kivulini.
- Question 21: Mvumilivu hula ...Answer: mbivu.
- Question 22: Subira huvuta ...Answer: heri.
- Question 23: Andika katika umoja. 23. Vyandarua vimerarukaAnswer: Chandarua kimeraruka.
- Question 24: Vyakula vimeivaAnswer: Chakula kimeiva.
- Question 25: Akifisha sentensi zifuatazo. 25. mama alijipamba kwa herini mkufu na bangiliAnswer: Mama alijipamba kwa herini, mkufu na bangili.
- Question 26: je ni siku gani mtafungua shuleAnswer: Je, ni siku gani mtafungua shule?
- Question 27: (a) Shairi hili ni la aina gani? (alama 1)Answer: Tarbia.
- Question 28: (b) Andika ubeti wa kwanza kikamilifu. (alama 2)Answer: Fikiria kila tendo vizuri: lenye madhara na la upendo, lililo safi na lililo chafu; fikiria tendo la amani…
- Question 29: (c) Andika kibwagizo cha shairi hili. (alama 2)Answer: Fikiri fikiri tendo, la amani na busara.
- Question 30: (d) Shairi hili linazungumzia nini? (alama 2)Answer: Umuhimu wa kufikiri kwa makini kabla ya kutenda, ili matendo yawe ya amani na busara.
- Question 31: (a) Pendekeza kichwa kinachofaa habari hii (alama 1)Answer: Adhabu na Nidhamu.
- Question 32: (b) Kuna tofauti gani kati ya adhabu na nidhamu? (alama 3)Answer: Adhabu ni malipo anayopewa mtu baada ya kukosa, ilhali nidhamu ni tabia njema ya kufuata kanuni inayofunzwa…
- Question 33: (c) Kulingana na hadithi, taja njia mbili za adhabu (alama 2)Answer: Kuchapa kwa kiboko na kuasa (kuonya).
- Question 34: (d) Andika methali moja inayoambatana na hadithi hii? (alama 2)Answer: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.