naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 15

Chagua jibu sahihi kujaza pengo 15.

From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

SEHEMU B: KUJAZA MAPENGO
Jibu swali la 12 hadi 16 ukitumia jibu sahihi.
Siku ___12____ Kimaka alipokuwa ____13____ kuni alijikata kisigino chake kwa shoka. Damu ilianza ____14_____ kwa kasi. Mamake alichukuwa gari lao na kumpeleka hospitalini. Alipofika hospitalini alibebwa na kupelekwa kwa daktari. Daktari alimdunga ___15______ ya kuzima kutoka kwa damu, kisha akashona kile kidonda na kutia ___16_____. Kimaka alipomaliziwa alionywa na daktari kuwa awe makini anapotumia shoka au vitu vyenye makali.

15. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 15.

  1. Ashindano
  2. Bkisu
  3. Csindano
  4. Dkipima joto

Answer

C. sindano

Daktari hudunga sindano.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test