CBC Grade 7 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 14
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 14.
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
SEHEMU B: KUJAZA MAPENGO
Jibu swali la 12 hadi 16 ukitumia jibu sahihi.
Siku ___12____ Kimaka alipokuwa ____13____ kuni alijikata kisigino chake kwa shoka. Damu ilianza ____14_____ kwa kasi. Mamake alichukuwa gari lao na kumpeleka hospitalini. Alipofika hospitalini alibebwa na kupelekwa kwa daktari. Daktari alimdunga ___15______ ya kuzima kutoka kwa damu, kisha akashona kile kidonda na kutia ___16_____. Kimaka alipomaliziwa alionywa na daktari kuwa awe makini anapotumia shoka au vitu vyenye makali.
14. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 14.
- Aikingia
- Bkububujika
- Ckuzama
- Dkuonekana
Answer
B. kububujika
Damu hububujika kutoka kwenye jeraha.