CBC Grade 7 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 12
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 12.
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
SEHEMU B: KUJAZA MAPENGO
Jibu swali la 12 hadi 16 ukitumia jibu sahihi.
Siku ___12____ Kimaka alipokuwa ____13____ kuni alijikata kisigino chake kwa shoka. Damu ilianza ____14_____ kwa kasi. Mamake alichukuwa gari lao na kumpeleka hospitalini. Alipofika hospitalini alibebwa na kupelekwa kwa daktari. Daktari alimdunga ___15______ ya kuzima kutoka kwa damu, kisha akashona kile kidonda na kutia ___16_____. Kimaka alipomaliziwa alionywa na daktari kuwa awe makini anapotumia shoka au vitu vyenye makali.
12. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 12.
- Ammoja
- Bmoja
- Ckimoja
- Dwamoja
Answer
B. moja
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 13.Question 13
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 14.Question 14
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 15.Question 15
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 16.Question 16
- SEHEMU YA C: SARUFI Andika wingi wa nomino hizi. 17. upishiQuestion 17
- Kamilisha methali hizi. 20. Mchumia juani ...Question 20