CBC Grade 6 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026: Term 3: First Assessment 2026 (Kiswahili Lugha)
Test 3 — Term 3: First Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · Term 3: First Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Kwa nini Mawia anatamani kuwa rubani kulingana na mazungumzo?Answer: B. Anaonelea kuwa kazi hiyo haichoshi
- Question 2: Mawia anadharau ukulima kwa sababu zifuatazo isipokuwa:Answer: D. ukulima hauna faida yoyote
- Question 3: Mkulima mzuri huwekeza kwa kununua nini ili kurahisisha kazi yake?Answer: A. Pembejeo za kilimo
- Question 4: Mbegu zilizovumbuliwa kwa teknolojia mpya zinasaidia kukabiliana na nini?Answer: C. Vimelea na ukame
- Question 5: Neno "zaraa" jinsi lilivyotumika katika mazungumzo lina maana sawa na:Answer: C. kilimo
- Question 6: Chagua jibu lililo sahihi kulingana na aya ya kwanza:Answer: C. Binadamu ndiye aliyewapa paka na panya mahitaji yao
- Question 7: Ipi si sifa ya panya kulingana na kifungu hiki?Answer: D. Mwadilifu
- Question 8: Ni jambo lipi linaloonyesha ukatili au dhuluma kwa wanyama kulingana na kifungu hiki?Answer: A. Paka kunyimwa chakula kwa siku mbili bila hatia
- Question 9: Kichwa kifaacho zaidi kwa kifungu hiki ni:Answer: C. Ulafi wa Panya
- Question 10: Chagua jibu sahihi kulingana na maelezo ya aya ya kwanza:Answer: B. Kila mwanafunzi huwa na mchango muhimu katika kikundi chake
- Question 11: Manufaa makuu ya shughuli za vikundi kulingana na kifungu hiki ni kuwa:Answer: C. hukuza maadili mema na mshikamano wa kitaifa
- Question 12: Mwanafunzi hawezi kufanikiwa masomoni bila kushirikiana na wenzake. Methali zifuatazo zinaweza kutumika kurejelea ujumbe huu ipasavyo…Answer: A. Mgaagaa na upwa hali wali mkavu
- Question 13: Ni mji upi uliotembelewa na wanafunzi wengi zaidi kulingana na jedwali?Answer: C. Nairobi
- Question 14: Ni nani aliyewahi kutembelea miji mingi zaidi kuliko wenzake wote?Answer: A. Hadija
- Question 15: Jedwali hili limechunguza ziara za wanafunzi katika miji mingapi tofauti?Answer: A. Minne
- Question 16: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (16).Answer: C. hujifunza
- Question 17: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (17).Answer: B. ambayo
- Question 18: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (18).Answer: D. ukarimu
- Question 19: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (19).Answer: A. kuwatoza
- Question 20: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi (20).Answer: A. mzuri
- Question 21: Tegua kitendawili kifuatacho: Linapendeza lakini halikawii kufa.Answer: C. Ua
- Question 22: Chagua jibu linaloonyesha nomino ambata (compound noun) pekee:Answer: B. Mbwamwitu
- Question 23: Andika wingi wa sentensi ifuatayo: Nguo hii ilinunuliwa mjini.Answer: D. Nguo hizi zilinunuliwa mijini
- Question 24: Ni sentensi ipi iliyoakifishwa kwa usahihi kabisa?Answer: A. Tafadhali ninunulie matunda yafuatayo: embe, chungwa, pera na tomoko.
- Question 25: Pesa ni sawa na "njenje" (sawa na msamiati mwingine wa pesa), kama vile maskini ni sawa na:Answer: C. mkata
- Question 26: Chagua sentensi iliyo katika kauli ya kutendua (conversive form):Answer: C. Bawabu ataufungua mlango huo.
- Question 27: "Ukifyeka kwa fyekeo butu utajiumiza." Kinyume cha neno lililopigiwa mstari (butu) ni:Answer: B. kali
- Question 28: Ni sentensi ipi iliyotumia viambishi vya masharti ya "ngali" kwa usahihi?Answer: A. Ungaliniita ningalikuja haraka
- Question 29: Andika sentensi ifuatayo katika hali ya udogo: Kitanda hiki kina godoro zuri.Answer: D. Kijitanda hiki kina kijigodoro kizuri
- Question 30: Kanusha sentensi ifuatayo katika nafsi yake sahihi: Uliniandikia barua mwezi uliopita.Answer: B. Hukuniandikia barua mwezi uliopita.