CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026
Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · End Term 3 Assessment 2026 · 23 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 23 questions with answers
- Question 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA. a) Umewahi kwenda dukani?Answer: Ndiyo, nimewahi kwenda dukani.
- Question 2: b) Taja vitu vitatu vinavyopatikana dukani.Answer: Sukari, unga na sabuni.
- Question 3: c) Watu hutumia nini kulipia vitu walivyonunua dukani?Answer: Pesa.
- Question 4: KUSOMA KWA SAUTI. Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Juma anapenda kucheza mpira wa kandanda na wenzake. Siku moja alirudi nyumbani akiwa ana njaa sana. Aliingia…
- Question 5: UFAHAMU. a) Andika jina la shule iliyotajwa kwenye hadithi.Answer: Dhabiti
- Question 6: b) Ni nani walitembelea shule iliyotajwa?Answer: maafisa wa elimu
- Question 7: c) Taja michezo mitatu ambayo wageni na wanafunzi walicheza wakati wa mapumziko?Answer: kibe, kalongo na tenesi
- Question 8: a) Mkulima ni nani? ___Answer: mtu anayelima shamba
- Question 9: b) Mkulima anaweza kupata mbolea kutoka wapi? i) ___ ii) ___Answer: madukani na kutoka kwa kinyesi cha wanyama wa nyumbani
- Question 10: c) Taja wanyama wawili wa nyumbani ambao wamezungumziwa kwenye hadithi. i) ___ ii) ___Answer: mbuzi na ng'ombe
- Question 11: SARUFI. Unda maneno yenye sauti zifuatazo. a) /ch/Answer: chai
- Question 12: b) /dh/Answer: dhahabu
- Question 13: c) /th/Answer: thelathini
- Question 14: Andika majina ya vifaa vifuatavyo vya kusafisha mazingira. a)Answer: ufagio
- Question 15: b)Answer: kizoleo
- Question 16: Andika ni salama au si salama. a) Kupiga kelele wakati wa hatari.Answer: A. salama
- Question 17: b) Kuingia kwa gari la mtu usiyemjua.Answer: B. si salama
- Question 18: c) Kutumia daraja la kuvuka barabaraAnswer: A. salama
- Question 19: Chora taa za trafiki na utie rangi ifaavyo.Answer: Taa tatu: nyekundu juu, manjano katikati, kijani chini.
- Question 20: Tumia -ekundu ipasavyo kwa kuchagua jibu sahihi. a) Kiatu ___ (nyekundu, chekundu)Answer: B. chekundu
- Question 21: b) Gari ___ (mekundu, jekundu)Answer: B. jekundu
- Question 22: Tumia alama ya kiulizi kutunga sentensi. mfano: Goti la nani limeumia? ___ ___Answer: Unaitwa nani? Unaenda wapi?
- Question 23: KUANDIKA. Andika sentensi tano kuhusu "KAZI NIIPENDAYO".Answer: Kazi niipendayo ni ualimu. Mwalimu hufundisha watoto shuleni. Ninapenda kusoma vitabu. Nitasoma kwa bidii.…