CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 6
b) Ni nani walitembelea shule iliyotajwa?
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi fupi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Shule ya msingi Dhabiti ilitembelewa na maafisa wa elimu. Walitaka kujua siri ya masomo bora katika shule hiyo, wageni waliingia madarasani. Wanafunzi walisomea wageni hadithi, wakakariri mashairi na kuimba nyimbo za uzalendo bila uwoga. Wakati wa mapumziko, wanafunzi walicheza na wageni uwanjani. Walicheza michezo kama kibe, kalongo na tenesi. Wageni walifurahia sana.
b) Ni nani walitembelea shule iliyotajwa?
Answer
maafisa wa elimu
Shule ilitembelewa na maafisa wa elimu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- c) Taja michezo mitatu ambayo wageni na wanafunzi walicheza wakati wa mapumziko?Question 7
- a) Mkulima ni nani? ___Question 8
- b) Mkulima anaweza kupata mbolea kutoka wapi? i) ___ ii) ___Question 9
- c) Taja wanyama wawili wa nyumbani ambao wamezungumziwa kwenye hadithi. i) ___ ii) ___Question 10
- SARUFI. Unda maneno yenye sauti zifuatazo. a) /ch/Question 11
- Andika majina ya vifaa vifuatavyo vya kusafisha mazingira. a)Question 14