CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 10
c) Taja wanyama wawili wa nyumbani ambao wamezungumziwa kwenye hadithi. i) ___ ii) ___
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Mchanga ni muhimu katika ukulima. Mkulima anafaa kuchagua mchanga bora wa kupanda mimea tofauti. Mkulima anaweza kuongeza mbolea ili mchanga uwe na rutuba nzuri. Mbolea inaweza kununuliwa kwenye maduka yanayouza bidhaa zinazotumika shambani. Pia mkulima atapata mbolea kutoka kwa kinyesi cha wanyama wa nyumbani kama vile mbuzi, ng'ombe na kuku.
c) Taja wanyama wawili wa nyumbani ambao wamezungumziwa kwenye hadithi.
i) ___________________________________
ii) __________________________________
Answer
mbuzi na ng'ombe
Hadithi inataja mbuzi, ng'ombe na kuku; wowote wawili ni sahihi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SARUFI. Unda maneno yenye sauti zifuatazo. a) /ch/Question 11
- Andika majina ya vifaa vifuatavyo vya kusafisha mazingira. a)Question 14
- Andika ni salama au si salama. a) Kupiga kelele wakati wa hatari.Question 16
- b) Kuingia kwa gari la mtu usiyemjua.Question 17
- c) Kutumia daraja la kuvuka barabaraQuestion 18
- Chora taa za trafiki na utie rangi ifaavyo.Question 19