naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 8

a) Mkulima ni nani? ___

From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.

Mchanga ni muhimu katika ukulima. Mkulima anafaa kuchagua mchanga bora wa kupanda mimea tofauti. Mkulima anaweza kuongeza mbolea ili mchanga uwe na rutuba nzuri. Mbolea inaweza kununuliwa kwenye maduka yanayouza bidhaa zinazotumika shambani. Pia mkulima atapata mbolea kutoka kwa kinyesi cha wanyama wa nyumbani kama vile mbuzi, ng'ombe na kuku.

4. a) Mkulima ni nani? ______________

Answer

mtu anayelima shamba

Mkulima ni mtu anayelima na kupanda mimea shambani.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test